Marehemu KANAEL NTALIMA
LEO Tarehe 29 NOVEMBER 2013
Ni miaka 25 kamili tangu mungu alipokuchukua Mama yetu Mpendwa,tunakukumbuka sana Mama yetu na mungu akurehemu.
Unakumbukwa sana na
wanao GEORGE, PRICILLA NA MATTY. Wakwe zako wote na wajukuu wote, mungu ametoa na mungu ametwaa
jinalake lihimidiwe...
AMEENA.
Poleni sana George, Pricilla na Matty - Namkumbuka marehemu Mama.. Ni muda mrefu sana umepita na mmefanya vyema kumkumbuka pamoja nasi. Kijana wa Mwenge!
ReplyDelete