Makamu wa Rais Dkt.Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wadau waliohudhuria Kongamano hilo,baada ya ufunguzi. Picha na OMR.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifungua Kongamano la Wawekezaji wa Sekta ya Korosho nchini,lililofanyika jijini Dar es Salaam,leo katika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere.
Waziri wa Kilimo, Eng. Christopher Chiza, akizungumza kabla ya kumkaribisha Makamu wa Rais kufungua kongamano hilo.
Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Korosho, Mudhihir Mudhihir, akizungumza kabla ya kumkaribisha Waziri wa Kilimo, kumkaribisha Makamu wa Rais kufungua kongamano hilo.PICHA ZAIDI INGIA HAPA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...