Mbunge wa Kilolo ambae pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji, Profesa Peter Msolla akiongea na Watanzania waishio nchini Uingereza kuhusu Bunge la Jamhuri wa Muungano linavyofanya kazi umuhimu sayansi na teknolojia.
Profesa Msolla alisema nchi yetu inahitaji sana waalimu wa sayansi. “Twahitaji waalimu wa fizikia na hesabu. Waalimu walio wabunifu watakaowafanya wanafunzi wayapende masomo hayo” ili kuleta Maendeleo nchini.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...