Marehemu Jovin Shambusho
Kutakuwa na vibao elekezi (directive signs) kuanzia kwenye kona ya Makongo Mwisho kuelekea nyumbani kwa kwake.
· Kwa wale ambao hawatapata muda/wasaa wa kushiriki ibada Kanisani na kutoa heshima zao za mwisho, mwili utakuwepo nyumbani baada ya ibada na wataweza kufanya hivyo.
Bwana ametoa, Bwana ametwaa, Jina lake Lihimidiwe… AMINA
Kwa niaba ya Familia.



.bmp)
RIP...
ReplyDeleteBut alikuwa nani? CV please
He was a Seniour Tax Official of the TRA, a husband to Eva Renson, father of two a brother and friend to many. Down to earth, very charming and of giving heart. We loved you so much brother..RIP you shall leave forever in our hearts....still tormented by the scene at church..your children and wife are devasted..may God give them strength to bear this loss
ReplyDeleteKwa Ndugu,Jamaa na marafiki na hasa familia yake yote Tafadhali pokeeni pole zetu. Huu ni msiba mzito sana kwetu. Mimi ni binamu yake ninayeishi Las Vegas. Sikuweza kuhudhuria maziko au hata kuwa na jamaa wote katika kumsindikiza kaka yangu mpendwa katika safari yake ya mwisho. Mimi na familia yangu tuko katika masikitiko mazito na Tunamwombea heri na apumzike kwa amani mahali pema peponi - Amen. Jovin we will always Love and Thanks for visiting us early this year, we will see you soon! Justice
ReplyDelete