Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania Bw.Matina Nkurlu(kushoto)akiwa pamoja na Ofisa wa bodi ya michezo ya kubahatisha Bakari Abdallah,Ofisa huduma za ziada wa Vodacom Rashid Maggid huku Kaimu mkuu wa kanda ya Kaskazini wa Kampuni hiyo Bi.Assumpta Malongo wakihakiki mmoja ya namba ya simu ya washindi wa Promosheni ya “Timka na BodaBoda” iliyofanyika katika kituo cha radio cha Sunrise mjini Arusha juzi.Jumla ya washindi(95)wamejishindia Bodaboda na(55)wamejinyakulia fedha taslimu.Ili kujiunga na Promosheni hiyo tuma neno Promo kwenda 15544.
Baadhi ya washindi wa Promosheni ya “Timka na BodaBoda”inayoendeshwa na Vodacom Tanzania wa mkoa wa Arusha na Kilimanjaro wakiondoka na Bodaboda zao baada ya kukabidhiwa rasmi jana jijini humo.Jumla ya washindi(95)wamejishindia Bodaboda na(55)wamejinyakulia fedha taslimu.Ili kujiunga na Promosheni hiyo tuma neno Promo kwenda 15544.
Kaimu Mkuu wa kanda ya Kaskazini wa Vodacom Tanzania Bi.Assumpta Malongo(kulia)akimkabidhi funguo ya pikipiki yake mshindi wa Promosheni ya”Timka na Bodaboda”Paulo Kivuyo mkazi wa njiro.Jumla ya washindi(95)wamejishindia Bodaboda na(55)wamejinyakulia fedha taslimu.Ili kujiunga na Promosheni hiyo tuma neno Promo kwenda 15544.
Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania Bw.Matina Nkurlu(kushoto)pamoja na Kaimu mkuu wa kanda ya Kaskazini wa Kampuni hiyo Bi.Assumpta Malongo,wakimshuhudia mshindi wa Promosheni ya”Timka na Bodaboda”Bw.Paulo Kivuyo wa Arusha akiwasha pikipiki yake mara baada ya kukabidhiwa rasmi jijini Arusha jana. Jumla ya washindi(95)wamejishindia Bodaboda na(55)wamejinyakulia fedha taslimu.Ili kujiunga na Promosheni hiyo tuma neno Promo kwenda 15544.
Kaimu mkuu wa kanda ya Kaskazini wa Vodacom Tanzania Bi.Assumpta Malongo,akimshuhudia mshindi wa Promosheni ya”Timka na Bodaboda”Bi.Elinipa Mmari akiwa amepakizwa na mumewe Alfred Mmari mara baada ya kukabidhiwa rasmi jijini Arusha jana. Jumla ya washindi(95)wamejishindia Bodaboda na(55)wamejinyakulia fedha taslimu.Ili kujiunga na Promosheni hiyo tuma neno Promo kwenda 15544.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...