Kaimu Mkurugenzi wa Maendeleo ya Vijana Tanzania Bw. James Kajugusi akifafanua jambo wakati wa hafla ya kumuaga na kumpongeza Pofesa Elisante Ole Gabriel aliyekaa ambaye alikuwa Mkurugenzi wa Idara hiyo ambapo sasa ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Profesa Elisante Ole Gabriel akisisitiza jambo kwa wafanyakazi wa Idara ya Maendeleo ya Vijana (hawapo pichani) wakati wa hafla ya kumuaga na kumpongeza iliyoandaliwa na wafanyakazi hao.
Afisa Vijana Mwandamizi Bw. Ernest Ntweneshe akitoa nasaha kwa niaba ya wafanyakazi wa Idara ya Maendeleo ya Vijana mbele ya mgeni rasmi Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Hbari, Vijana, Utamaduni na Michezo Profesa Elisante Ole Gabariel (hayupo pichani) wakati wa hafla fupi ya kumuaga na kumpongeza kwa kuteuliwa kushika wadhifa huo.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Profesa Elisante Ole Gabriel( kushoto) akipokea zawadi ya shati kutoka kwa wafanyazi wa Idara ya Maendeleo ya Vijana aliyokabidhiwa kwa niaba yao na Kaimu Mkurugenzi wa Maendeleo ya Vijana Bw. James Kajugusi mapema mwishoni mwa wiki katika hafla fupi ya kumpongeza iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Wizara.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Profesa Elisante Ole Gabriel( waliokaa katika) akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa idara ya Maendeleo ya Vijana wakati wa hafla fupi ya kumpongeza na kumuaga Profesa Gabriel ambaye awali alikuwa Mkurugenzi wa Idara hiyo.Picha zote na Frank Shija

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Hongera Bw. Kajugusi, kwa kupiga hatuwa kiasi hicho, you really deserve. Nakumbuka enzi hizo tukiwa pale 'MOTCO' ulikuwa Makamu Mkuu wetu Wa Chuo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...