Sehemu kipande cha barabara kinachojengwa kwa kiwango cha lami wilayani Tandahimba mkoani Mtwara,kama kionekavyo maraa baada ya kunaswa na camera ya Globu ya Jamii mapema leo mchana. 
 Basi la abiria likitokea Wilayani Tandahimba kuelekea Masasi mapema leo mchana
 Mkeka umekolea safi kabisa ndani ya wilaya ya Tandahimba.
 Tahadhari imewekwa pia
 Mandhari safi kabisa ndani ya Wilaya ya Tandahimba huku sehemu kubwa ya barabara ikiwa na kiwango cha lami,kurahisisha usafiri kwa wakazi wa Wilaya hiyo na sehemu nyingine.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Tazama "mkeka" ulivyopendeza, hii ndiyo TZ ambayo Muheshimiwa Magufuli anajaribu kuijenga......sasa unakuta akipigwa "stop" na Waziri mkubwa watu wanashangilia....hili lisiwe jambo la kushangilia Jembe kama hili (Magufuli) anapopigwa stop ingefaa kiongozi anayefanya hivyo akoromewe na jamii yote....Tunataka viongozi ambao ukiwapima unaona "output".....
    Hon J. P. Magufuli nadhani ni mmoja wa viongozi hao, au?

    ReplyDelete
  2. Mkeka unatiamoyo ni wa nguvu kweli. Awamu hii kweli mmefanya kazi kubwa ya kuongeza barabara za lami. Lakini hizo nyumba za makuti katika picha ya hapo juu tunatarajia wenyewe watazijenga upya hivi karibuni.

    ReplyDelete
  3. Hizi ni moja ya juhudi ya serikali yetu kuwaletea wananchi wake maisha. Bora. Big up JK

    ReplyDelete
  4. hongera serikali kwa hili

    hata USA iliendelea kwa kuhagaikia kwanza miundo mbinu na maji safi kwa wote

    mengine yote yatajipa kwa kuhakikisha usalama wa raia, afya bora na elimu bora

    ReplyDelete
  5. SIFAELI MJEWANovember 15, 2013

    KIKWETE,KIKWETE. KIKWETE. KWELI KWELI KIKWETE KWELI. JAMANI MNYONGE MNYONGENI HAKI YAKE MPENI, KWA WALE WANAOSEMA KUA HUYU JAMAA HAJAFANYA CHOCHOTE HEBU RUDINI KWA MUNGU WENU, KWELI HAKUNA ALIYEKAMILIKA HATA KAMA ANA MAPUNGUFU KAZI KAFANYA, HONGERA SANA SANA RAISI WANGU NA NGANGALI WETU MAGUFULI ZIBENI MASIKIO FANYENI KAZI, TUTAPOFUNUKA MACHO TUTATHAMINI KAZI. KIKWETE MUNGU AKUTANGULIE UMALIZE AWAMU YAKO KWA SALAMA UPUMZIKE NA MANENO YA WASIO NA UPEO WA KUONA, MAANA KUSOMA HAWAHUI LAKINI HATA PICHA HAIWAELEZI KITU. HONGERA NDIMA YEDI KANGI NEDHOOOOOOOOOOOOO MHS.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...