Sehemu kipande cha barabara kinachojengwa kwa kiwango cha lami wilayani Tandahimba mkoani Mtwara,kama kionekavyo maraa baada ya kunaswa na camera ya Globu ya Jamii mapema leo mchana.
Basi la abiria likitokea Wilayani Tandahimba kuelekea Masasi mapema leo mchana
Mkeka umekolea safi kabisa ndani ya wilaya ya Tandahimba.
Tahadhari imewekwa pia
Mandhari safi kabisa ndani ya Wilaya ya Tandahimba huku sehemu kubwa ya barabara ikiwa na kiwango cha lami,kurahisisha usafiri kwa wakazi wa Wilaya hiyo na sehemu nyingine.







Tazama "mkeka" ulivyopendeza, hii ndiyo TZ ambayo Muheshimiwa Magufuli anajaribu kuijenga......sasa unakuta akipigwa "stop" na Waziri mkubwa watu wanashangilia....hili lisiwe jambo la kushangilia Jembe kama hili (Magufuli) anapopigwa stop ingefaa kiongozi anayefanya hivyo akoromewe na jamii yote....Tunataka viongozi ambao ukiwapima unaona "output".....
ReplyDeleteHon J. P. Magufuli nadhani ni mmoja wa viongozi hao, au?
Mkeka unatiamoyo ni wa nguvu kweli. Awamu hii kweli mmefanya kazi kubwa ya kuongeza barabara za lami. Lakini hizo nyumba za makuti katika picha ya hapo juu tunatarajia wenyewe watazijenga upya hivi karibuni.
ReplyDeleteHizi ni moja ya juhudi ya serikali yetu kuwaletea wananchi wake maisha. Bora. Big up JK
ReplyDeletehongera serikali kwa hili
ReplyDeletehata USA iliendelea kwa kuhagaikia kwanza miundo mbinu na maji safi kwa wote
mengine yote yatajipa kwa kuhakikisha usalama wa raia, afya bora na elimu bora
KIKWETE,KIKWETE. KIKWETE. KWELI KWELI KIKWETE KWELI. JAMANI MNYONGE MNYONGENI HAKI YAKE MPENI, KWA WALE WANAOSEMA KUA HUYU JAMAA HAJAFANYA CHOCHOTE HEBU RUDINI KWA MUNGU WENU, KWELI HAKUNA ALIYEKAMILIKA HATA KAMA ANA MAPUNGUFU KAZI KAFANYA, HONGERA SANA SANA RAISI WANGU NA NGANGALI WETU MAGUFULI ZIBENI MASIKIO FANYENI KAZI, TUTAPOFUNUKA MACHO TUTATHAMINI KAZI. KIKWETE MUNGU AKUTANGULIE UMALIZE AWAMU YAKO KWA SALAMA UPUMZIKE NA MANENO YA WASIO NA UPEO WA KUONA, MAANA KUSOMA HAWAHUI LAKINI HATA PICHA HAIWAELEZI KITU. HONGERA NDIMA YEDI KANGI NEDHOOOOOOOOOOOOO MHS.
ReplyDelete