Jumuiya
ya watanzania wa Leeds tunasikitika
kutangaza habari ya msiba wa dada yetu.Mrs Maua
Mpankuli (pichani) uliotokea
jana usiku tarehe 1 Novemba 2013 hapa Leeds, United Kingdom.
Msiba
utakuwa nyumbani kwake:
8
Beech Crescent,
Leeds,
LS9
6SQ
Marehemu
ameacha mume na watoto Saba wanne wapo hapa UK na watatu wako nyumbani. Marehemu
katika siku za maisha yake alikuwa anafanya kazi Hospitali ya Muhimbili kama
Nurse, baadae akaja UK kwa masomo zaidi na kufanikiwa kupata kazi kama Nurse
kazi aliyoifanya mpaka siku za kuumwa kwake akaacha kazi.
Mipango
ya kusafirisha mwili wa marehemu toka UK kwenda Tanzania kwa mazishi inafanywa
na Mwili unategemewa kusafirishwa siku ya Alhamisi kuelekea Tanzania.
Jumuiya
ya watanzania wa Leeds na UK kwa ujumla mnaombwa mchango wa kufanikisha
shughuli za kusafirisha mwili wa marehemu kwenda Tanzania kwa ajili ya mazishi.
Kwa wale watakaopenda kuwasilisha michango ya pesa kusaidia shughuli hii wanaweza kutuma kwenye akaunti za mume na
binti wa marehemu.
Name:
Martin Mpankuli
Bank:
Barclays
A/C
No.: 10927333
Sort
Code: 204842
Swiftbic:
BARCGB22
Name:
Gift Angela Hamisi
Bank:
Lloyds
A/C
No.: 20044160
Sort
Code: 771410
Kwa
maelezo zaidi wasiliana na
Peter
Timakela kwa simu 07402555424
Thomas
Kiwalaka 0752 64 99312
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...