Bi. harusi mtarajiwa akiwa na mpambe wake.
Picha ya pamoja.
Kufungua mvinyo.....
Vinywaji vilitembea.......
Mary akilishwa keki kama ishara ya upendo.
Mary akiwa na Cathbert.
Bi. Harusi mtarajiwa Mary akiwa amepozi na bwana harusi mtarajiwa, Cathbert wakati wa send off yake ilitofanyika Novo Hoteli jijini Arusha hivi karibuni.
Watarajiwa wamependeza saaana ila naona dogo "KAMEZWA" ile mbaaaya.
ReplyDeleteNdo maisha hayo mdau. Wengine waende wapi?
DeleteLove the couple!
ReplyDeleteMWANAMKE wa shoka, you can tell hana mchezo!,
Kazi anapiga , kuishi vizuri na ni mrembo!! THUBUTU kuvuruga nyumba yake!!
Dogo uliyetia mguu hapo huogopi 'vitasa?'anyway, uwe unakwenda kwa akina Matumla, Cheka na Kinyogoli uwe unapata 'shule'
ReplyDelete