Rekodi video yako ukiwa unaimba wimbo wowote wa P-Square
Iweke katika ukurasa wako wa instagram ukitumia #VodacomPSquare
Fuatilia ukurasa wetu wa Facebook, Twitter na Instagram.
Mwisho wa shindano ni tarehe 21/11/2013
Alika marafiki zako wa ‘LIKE’ video yako.
Video yenye likes nyingi itajishindia Galaxy Note 3!
*Vigezo na masharti kuzingatiwa*
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...