Katibu wa Bunge, anasikitika kuwataarifu kifo cha mtumishi wa Ofisi ya Bunge ktk idara ya shughuli za Bunge, Mkurugenzi Msaidizi Ndg. Anselm L. Mrema kilichotokea jana usiku tarehe 10.11.2013 ktk hospitali ya mkoa, Dodoma.
Ofisi inaendelea na taratibu za mazishi kwa kushirikiana na familia ya marehemu, tutaendelea kuwapa taarifa zaidi kutokana na msiba huo.
Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe. Amen!
11.11.2013.
Anselm ni mshumaa uliozimika ghafla,hakuna anayeamini kwamba haupo nsi tena.Bunge limepoteza mtumishi mchapakazi.RIP Mrema
ReplyDeleteOooh God, very sad. Tunaomba Mungu awape faraja familia yake katika kipindi hiki kigumu hasa kwa kuondoka kwake gafla namna hii. Bwana ametoa na ametwaa jina lake lihimidiwe.
ReplyDeleteMay God rest your soul in peace Uncle Anselm really you are and always be remembered in our family. Mom Matthew
ReplyDelete