Home
Unlabelled
TASWIRA ZA VIKWANGUA ANGA MBALI MBALI KATIKA MJI WA DURBAN NCHINI AFRIKA KUSINI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Picha Kama Hizi, Zinatakiwa kutundikwa Ukutani kwenye Ofisi ya
ReplyDeleteMagufuli. Kila aingiapo Ofisini kwake anaziangalia na Kutafakari nini chakufanya siku hiyo
Ushauri tu!
Bado kidogo tu dar nasi tutafikia hapo miaka kama 5 ijayo.
ReplyDeletesaaafi sana sasa mkirudi bongo mufanye kama wenzenu. mbona siwaoni wamachinga?/ au huko hakuna
ReplyDeleteMipango Miji wizara ya Ardhi wanaona miji inayotakiwa kupangwa,Mikoa na wilaya mbalimbali zionyeshwe hiyo mipango miji iliangalau wawe na mipango ya kutuelekeza huko. Asante Ankal kwa kutufungua upeo wetu wa kufikiri
ReplyDelete