KUONA TASWIRAZZ ZAIDI ZA MJI HUU WA DURBAN

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Picha Kama Hizi, Zinatakiwa kutundikwa Ukutani kwenye Ofisi ya
    Magufuli. Kila aingiapo Ofisini kwake anaziangalia na Kutafakari nini chakufanya siku hiyo

    Ushauri tu!

    ReplyDelete
  2. Bado kidogo tu dar nasi tutafikia hapo miaka kama 5 ijayo.

    ReplyDelete
  3. saaafi sana sasa mkirudi bongo mufanye kama wenzenu. mbona siwaoni wamachinga?/ au huko hakuna

    ReplyDelete
  4. Mipango Miji wizara ya Ardhi wanaona miji inayotakiwa kupangwa,Mikoa na wilaya mbalimbali zionyeshwe hiyo mipango miji iliangalau wawe na mipango ya kutuelekeza huko. Asante Ankal kwa kutufungua upeo wetu wa kufikiri

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...