Tingatinga la kampuni ya ujenzi wa barabara ya mradi wa kupitisha mabasi ya DART likisawazisha njia kwa kupishana na wapita njia. Hakuna eneo lililotengwa kwa watembea kwa mguu wanaotumia kivuko hali inayoleta usumbufu.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Nauliza, wanapanua barabara kwenda Feri a.k.a Kivukoni huku daraja la Kigamboni likijengwa kwingine!

    Je daraja la Kigamboni likiisha umati huo huko Kivukoni utakuwepo? Na je huduma za Feri zitaendelea kuwepo? Huduma za mabasi-ya-kasi a.k.a DART watabeba abiria gani hukoFeri?

    Huu siyo upotevu wa kodi zetu wananchi kwa miradi isiyo-endelevu maana naamini huduma za Feri zitasitishwa daraja la Kigamboni likiisha.

    Mdau
    Mlipa-Kodi

    ReplyDelete
    Replies
    1. Huduma za ferry hazitasitishwa bali pia zitaboreshwa na ukumbuke wananchi wa kigamboni, kibada na tuangoma watakuwa na njia mbadala zote zikiwa ni za kulipia kwa faida yao na urahisi wa kufika katikati ya mji wa biashara Dar es salaam.

      Delete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...