Ni wakati wa furaha kwa wadau Yona Robert Kibela na Mai waifu wake Vaileth Godfrey baada ya kumeremeta katika Kanisa la Maxmillian Kolbe la Mwenge jijini Dar es salaam na baadaye wakaelekea kwenye mnuso wa nguvu kwenye ukumbi wa Skyline Motel Mbezi Makonde.
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
Safi Yona umeaga ukapela mungu akutangulie katika maisha yako ya ndoa, wacheza golf wenzio tupo pamoja na wewe.By katili
ReplyDelete