Ni wakati wa furaha kwa wadau Yona Robert Kibela na Mai waifu wake Vaileth Godfrey baada ya kumeremeta katika Kanisa la Maxmillian Kolbe la Mwenge jijini Dar es salaam na baadaye wakaelekea kwenye mnuso wa nguvu kwenye ukumbi wa Skyline Motel Mbezi Makonde.
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Safi Yona umeaga ukapela mungu akutangulie katika maisha yako ya ndoa, wacheza golf wenzio tupo pamoja na wewe.By katili

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...