Walimbwende wa Miss Tanzania USA Pageant wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kumaliza kujinoa kwa ajili ya kumtafuta Miss Tanzania USA Pageant itayofanyika Hollywood Ballroom anuani ni 2126 Industrial Pkwy, Silver Spring, MD 20904 kati mstari wa mbele ni Miss Pageant wa kesho akifuarahia ukodak moment na washiriki. 

Walimbwende wa Miss Tanzania USA Pageant katika picha ya pamoja na waratibu wakiwemo mkurugenzi na mwanzilishi wa Miss Afrika USA Pageant Lady Kate (wa pili toka kulia mstari wa mbele), mkurugenzi na mwanzilishi wa Miss Tanzania USA Pageant Ma Winny Casey (wanne toka kushoto mstari wa mbele).

Mbunge viti maalum Chadema Mhe. Leticia Nyerere katika picha ya pamoja na Hidaya Mahita (kushoto) na Hellena Nyerere ambaye ni mwanae anayeshiriki kwenye kinyang'anyiro cha miss Tanzania USA Pageant.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...