Home
Unlabelled
YALE YALEEEE.........
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kwa Kanuni zetu za Tanzania,
ReplyDelete(Muda huo Sheria inakuwa Likizo)
Sheria na Kanuni za u-Polisi zinaanza pindi atakapo shuka kwenye Pikipiki na pia kwa watu wengine na sio mwendesha Bodaboda aliyembeba yeye Polisi!!!
Tunashuhudia mara nyingi tu Polisi wakifika katika Mabanda ya Gongo na pindi wakiwasili Kofia zao hizivua na kuziweka kwapani, wanapewa Glasi zao na Pespi zao wakitosheka wanapachika Kofia wakiwa nje ya Mabanda ya Gongo haooo wanaondoka!
Weeee mdau hapo juu, baada ya glass ya gongo na pepsi, si atakua wanaona double double. No way wanaondoka. More like wanasample zaidi. Anyway, it looks like wako kwenye negotiations. Mimi nadhani wanaenda station ya sheria kujibu maswali ya lack of helmet.
ReplyDelete