Home
Unlabelled
Wazee wa Dar es Salaam wamtembelea Mh. Lowassa leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Njaa kitu kibaya sana
ReplyDeleteThe mdudu,anasema dalili ya mawingu ni...utajaza mwenyewe hapo,huyu ndio RAIS 2015,,,na ww mdau wa kwanza ukae ukijua njaa rafiki yake mkubwa ni tumbo,,kwa mtazamo wangu hao wameshiba na kama wangekua na njaa wasingefunga safari,,warugulu tunamsemo unaoitwa KALAKA BAO,,niko mbali na ww otherwise ningekwambia nn maana ya hilo neno
ReplyDeleteAise.
ReplyDeletePresident 2015! Tunataka Rais mchapa kazi. CCM msifanye makosa ya kutompitisha vinginevyo mmeula wa chuya nawaambieni. Mimi siyo CCM lkn Lowassa ni chaguo la wa-TZ
ReplyDeleteLazima tukubali ukweli ya kuwa licha ya mema mtu atakayo yafanya haiwezekani mwanaadamu akawa kama Nabii kila binaadamu ana mapungufu yake, hivyo MEMA YA LOWASSA tuyazingatie na kuyajali na MABAYA YAKE TUTAMKOSOA NA ATAJIREKEBISHA!
ReplyDeleteNi kweli Edward Lowassa ndio anayefuata 2015!
Bila shaka. Njaa mwenzake tumbo na mzee wa Monduli tunakuhitaji.
ReplyDeletetumemaliza mkoani, sasa tumerudi mjini. mtatucheki mambo yetu, we are strategically in position.
ReplyDeleteNi chaguo lako wewe usiwasemee wa tz !!
ReplyDeleteTULIHUZUNIKA SANA,2015 NAOMBA TUFURAHI PAMOJA.WA TZ TUNA IMANI KUBWA NA WEWE.YOU WILL MAKE THINGS MOVE,GO BLESS YOU GOD BLESS TZ.
ReplyDeleteSiamini kuwa eti kuna watu wanapiga debe la urais hapa!? Hivi duniani kuna maajabu..Nadhani kuna haja ya ku-rewind yale yote yaliyokea wakati ule miaka kadhaa iliyopita wa shida ya umeme na role ya Richmond..nadhani ile ripoti ya Mwakyembe iwe posted online. Duuh, watu mbona tunakuwa wasahaulifu mno!! Hakuna mwanadamu perfect, lakini mwanadamu aliye na tamaa ya utajiri wa haraka haraka, hata kama utendaji wake ni superb, huyo hatufai kama Raisi.. Just saying...
ReplyDelete