Ujumbe wa Maveterani wa CCM pamoja na wajumbe wa Baraza la Wazee wa mkoa wa Dar es Salaam wamemtembelea Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli,Mh. Edward Lowassa ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Njaa kitu kibaya sana

    ReplyDelete
  2. The mdudu,anasema dalili ya mawingu ni...utajaza mwenyewe hapo,huyu ndio RAIS 2015,,,na ww mdau wa kwanza ukae ukijua njaa rafiki yake mkubwa ni tumbo,,kwa mtazamo wangu hao wameshiba na kama wangekua na njaa wasingefunga safari,,warugulu tunamsemo unaoitwa KALAKA BAO,,niko mbali na ww otherwise ningekwambia nn maana ya hilo neno

    ReplyDelete
  3. President 2015! Tunataka Rais mchapa kazi. CCM msifanye makosa ya kutompitisha vinginevyo mmeula wa chuya nawaambieni. Mimi siyo CCM lkn Lowassa ni chaguo la wa-TZ

    ReplyDelete
  4. Lazima tukubali ukweli ya kuwa licha ya mema mtu atakayo yafanya haiwezekani mwanaadamu akawa kama Nabii kila binaadamu ana mapungufu yake, hivyo MEMA YA LOWASSA tuyazingatie na kuyajali na MABAYA YAKE TUTAMKOSOA NA ATAJIREKEBISHA!


    Ni kweli Edward Lowassa ndio anayefuata 2015!

    ReplyDelete
  5. Bila shaka. Njaa mwenzake tumbo na mzee wa Monduli tunakuhitaji.

    ReplyDelete
  6. tumemaliza mkoani, sasa tumerudi mjini. mtatucheki mambo yetu, we are strategically in position.

    ReplyDelete
  7. Ni chaguo lako wewe usiwasemee wa tz !!

    ReplyDelete
  8. TULIHUZUNIKA SANA,2015 NAOMBA TUFURAHI PAMOJA.WA TZ TUNA IMANI KUBWA NA WEWE.YOU WILL MAKE THINGS MOVE,GO BLESS YOU GOD BLESS TZ.

    ReplyDelete
  9. Siamini kuwa eti kuna watu wanapiga debe la urais hapa!? Hivi duniani kuna maajabu..Nadhani kuna haja ya ku-rewind yale yote yaliyokea wakati ule miaka kadhaa iliyopita wa shida ya umeme na role ya Richmond..nadhani ile ripoti ya Mwakyembe iwe posted online. Duuh, watu mbona tunakuwa wasahaulifu mno!! Hakuna mwanadamu perfect, lakini mwanadamu aliye na tamaa ya utajiri wa haraka haraka, hata kama utendaji wake ni superb, huyo hatufai kama Raisi.. Just saying...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...