Mwenyekiti wa Taasisi isiyo ya kiserikali ya Women Footprints Initiative (WOFI) Vida Nasari Mndolwa (kushoto) akiongea na waandishi wa habari kuhusu majadiliano ya namna ya kuwainua mwanamke wa Tanzania kiuchumi yatakayofanyika Jumamosi Novemba 16, 2013 katika hotel ya Mayfair Plaza, jijini Dar es Salaam. Kulia ni Katibu wa taasisi hiyo Grace Mihayo Malekani. Mgeni rasmi katika majadiliano hayo anatarajiwa kuwa mama Asha Bilal, mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...