Hii imekaaje Wadau??Pichani ni Askari Polisi akiwa amepanda bodaboda ambayo dereva wake hana helmet huku yeye akiwa amevalia kofia ya kazi, hivi anamsaidia kweli???

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Kwa Kanuni zetu za Tanzania,

    (Muda huo Sheria inakuwa Likizo)

    Sheria na Kanuni za u-Polisi zinaanza pindi atakapo shuka kwenye Pikipiki na pia kwa watu wengine na sio mwendesha Bodaboda aliyembeba yeye Polisi!!!

    Tunashuhudia mara nyingi tu Polisi wakifika katika Mabanda ya Gongo na pindi wakiwasili Kofia zao hizivua na kuziweka kwapani, wanapewa Glasi zao na Pespi zao wakitosheka wanapachika Kofia wakiwa nje ya Mabanda ya Gongo haooo wanaondoka!

    ReplyDelete
  2. Weeee mdau hapo juu, baada ya glass ya gongo na pepsi, si atakua wanaona double double. No way wanaondoka. More like wanasample zaidi. Anyway, it looks like wako kwenye negotiations. Mimi nadhani wanaenda station ya sheria kujibu maswali ya lack of helmet.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...