HOTUBA YA MH ZITTO Z. KABWE - KIGOMA – 21 DESEMBA 2013


Leo nina furaha kubwa sana kwani baada ya safari ndefu na yenye changamoto nimerudi nyumbani kuwasalimu wananchi wenzangu! Na hii si salamu za kawaida bali nawasalimu kwa salaam za demokrasia, uadilifu, uzalendo na uwajibikaji. Nawasalimu si kama mbunge bali kama mwana wenu wa Kigoma! Na popote niendapo najivunia kujitambulisha kama Mtanzania; kama mwenyeji wa mkoa wa Kigoma na zao la Ujiji.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Kilichonisisimua ni kutokua na muonekano wa polisi...yawezekana walikuwepo, ila ni jambo la kuvutia na la kupongezwa kwa wananchi kwa kuonesha nidhamu na ukomavu,natafakari hali ingekua kama hivi ktk mikutano yoyote ile na popote pale kwa wananchi kujichunga wenyewe na kuhakikisha hakuna athari kwa mtu au mali mpaka mwisho wa mkutano nadhani tungekua mbali ktk harakati kama hizi, matumaini yangu ni kwamba wananchi hawa wametoa funzo na elimu tosha kwa wananchi wa Tanzania.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...