Mr. John M. Haule, Permanent Secretary of the Ministry of Foreign Affairs and International Co-operation and H.E. Dr. Lu Youqing, Ambassador of the People's Republic of China to the United Republic of Tanzania sign Handing Over Certificate of Vehicles donated by the Chinese Government.
Permanent Secretary John Haule receives Handover Certificate of Vehicles from H.E. Dr. Lu Youqing. The Chinese Government had donated 91 vehicles to the Government of Tanzania, worth Tsh. 9,450,000,000 which are purported to used for transportation at the Julius Nyerere International Convention Centre (JNIC) and various Government institutions.
Permanent Secretary John Haule and H.E. Ambassador Dr. Lu Youqing cut ribbon to officiate the handover of vehicles ceremony.
Limousine luxury buses donated by the Government of the People's Republic of China to the Tanzania Government.
CLICK HERE FOR MORE PHOTOS
CLICK HERE FOR MORE PHOTOS
jamani gari91 tumepewa bureee bila kutoa kitu??haiwezekani...nilikuwa China nako kuna maskini wakutupwa ambapo msaada huu wangeuhitaji sana..ninaomba mnijuze ndugu zanguni hawa watu watapata nini kutokana na kutupa hivi vya buree??hii ni hatari sana kwa usalama wa taifa letu na vizazi vyetu...hii dunia ankal kama ujuavyo hakuna cha bure...tuambianeni nyuma ya pazia wanataka nini hawa??
ReplyDeletemdau UK
haya mabasi yanaonekana ni makali lakini sijui kama hata yatafika mwaka kabla hayajahujumiwa na watu wetu wenyewe wataopewa kuyaendesha na kuyatunza , tusubiri
ReplyDeletemmh! nakubaliana na mdau wa kwanza, kweli bure alifariki zamani, sasa sijui huu ni mzimu wake.Tuweni makini. Pia nakubaliana na mdau wa pili, watanzania tuwe wazalendo, tupende kutunza vitu vyetu, tuache ubinafsi bila hivyo hatuwezi endelea.
ReplyDeleteJee sisi ZANZIBAR tutapewa mangapi maana kama nilivyosoma msaada ni wa Tanzania na sio Tanganyika au ndio hivyo ndugu zetu wa damu.
ReplyDeletehapo sio bure kuna jambo
ReplyDeleteHuyo Ndugu wa Zanzibar na Tanganyika asubuhi Katiba mpya ya aserikali Tatu atakuwa hana shida tena!!
ReplyDelete