Taswira la jiji la Dar es salaam usiku huu...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. Madiaspora Majuu mnaiona Bongo Daslam hiyo ilivyo?

    Masikini wee, Ankali Michuzi anajituma sana na Kamera yake kifuani usiku na mchana kukurushieni Tawsira mwanana za Jiji !

    Lakini watu wenyewe Majuu wanaofanyiwa jitihada hii wala hamnazo, tokea picha zipo hweani jamvini hakuna hata maoni watu wanabishana kwa marumbano na kutoana majasho kwa Mjadala wa viatu vya Mandela!

    ReplyDelete
  2. Kwa haraka haraka hii Taswira ya Usiku Bongo-Darisalama haina tofauti na New York Marekani!

    Labda tofauti ndogo ni kale kamgao kwa umeme tu!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Safirini jamani msio mnalinganisha tuu bongo na newyork. Kama nchi ni masikini ni masikini kuongopa haitasaidia

      Delete
  3. Wamajuu wengi hamhsauriki na kushawishika juu ya kurudi Bongo!

    Licha ya Taswira anazorusha mara kwa mara Mjomba Michuzi, ili kuwavuta.

    Ni kuwa wengi mliondoka kwa Misala na Majanga mliyoyaacha kwenye familia zenu Tanzania, ikiwemo mazishi ya fedha, uzimaji, kuuza Maredio na Mafriji majumbani mkitafuta nauli za kwenda Majuu!!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Unaonekana kama una ka wivu flan hivi kwa watu walio majuu. Kwani lazima kurudi kuishi bongo? So funny

      Delete
  4. ANKAL onesha na takataka zinazotupwa barabara mpya ya morogoro. Bado the bush is still in the african tena ni mafurushi kutoka mahotelini

    ReplyDelete
  5. Maashala jiji kwa view imekubali lakini ukiwa ndani ndiyo utajua jiji vizuri mara umeme umekata maji hakuna mbu usiseme ili mradi balaa mtindo mmoja asante raisi wetu umejitahidi kiasi chako

    ReplyDelete
  6. Picha nzuri anazotutupia Ankal ni nzuri sana na ndivyo inavyotakiwa katika tasnia ya uandishi, kuonyesha mazuri na mabaya. Lakini waandishi wa Ughaibuni habari nzuri za Afrika ni kuonyesha mabaya ndiyo habari nzuri kwao na kuelimisha watoto wao. Utashangaa hata Wabongo wenzetu wanaoishi huko huunga mkono uozo wa habari kama hizo badala ya kuwakomalia waandishi hao na ikiwezekana Ubalozi kuingilia kati.
    - Mr Mhoja - Sweden

    ReplyDelete
  7. Many thanks to the dear " MBALAMWEZI".

    ReplyDelete
  8. Tuonyeshe na mburahati, yombo,tandale,menzese,mbagala,dar ni chafu inanuka,msongamano,joto,vumbi..its worse

    ReplyDelete
  9. So funny mtu anapoifananisha dar na newyork. Watu safirini na nyinyi mjionee nchi za wenzenu ndo muilinganishe na bongo. Na kuhusu watu wa majuu kurudi bongo kwani hivi niuluze maisha si popote? Kwani lazima kurudi bongo tuu? Wivu mwingine bana.

    ReplyDelete
  10. Kwani mpk kila mtu anayeishi bongo lazima arudi huko? Life ni popote sio. Acheni wivu jamani .

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...