Home
Unlabelled
Dkt Slaa aendelea na ziara yakemkoani tabora
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Jamani mwenye macho haambiwi ona,yaani uwanja mweupe hii kuonyesha zito ananguvu sn Chadema
ReplyDeleteWewe mdau wa Kwanza Fikiri nje ya boksi. Ziara hizi anafanya eneo moja hadi lingine. Hivyo, si wananchi wote lazima wakusanyike eneo moja. Unategemea ahutubie kijijini uone watu 10,000? Je, haujui vijiji vyetu vilivyo na nyumba zilizo mbalimbali. Eneo kubwa watu wachache. Statement yako ingeweza kuwa sahihi kama Mktano ungekuwa umefanyika mjini; Tabora mjini; Kigoma mjini; Mwanza mjini; Dar es Salaam, nk
ReplyDeleteHUYU MZEE AMESHAKUWA MZIGO CDM. LAKINI NDIYO HIVYO, ILI AISHI ANAHITAJI POSHO. NA POSHO LAZIMA ZIWE NA MAELEZO!
ReplyDeleteHii ni mikutano ya kuwadanganya watu wasio na kazi. Ulaya mikutano hii hamna. wanafanya kwenye ma hall tena watu wachache waliooalikwa. Ukiacha beba box uende mkutanoni una loose pesa. Fanyeni hiyo mikutano kutoa ajira kwa vijana na siyo maneno matupu.
ReplyDeleteDr. Slaa chapa kazi,usisikilize vijimaneno vya Magamba wala Masalia Buku 7 wa Lumumba.
ReplyDeleteUELEWA NA UWEZO WA KUFANYA UPEMBUZI YAKINIFU WA MASUALA MBALIMBALI YA NCHI YETU WA KAMANDA MMOJA WA CDM NI SAWA NA MAGAMBA 47 WA CCM.FIKIRIA HALAFU JITAMBUE.
ReplyDeleteLooh, wee mdau wa pili unajieleza kama mfa maji f'lani! Nadhani we msaidizi wa huyu Mzee Slaa! Maana huo utetezi unaoutoa wa ziara yake hauendani na zile pambo za Chadema. Tukubali tu kwamba Chadema hali sasa inaanza kuwa mbaya!
ReplyDelete