Je, Unataka piki piki?
Naondoka Tanzania ndani ya wiki mmoja na ninahitaji kuuza pikipiki yangu Zongshen CC200, ina hali nzuri, na inafanyiwa service na matengenezo kila mwezi na fundi makenika wa Zongshen-Yamaha.
Nauza kwa milioni 1.3 au kwa mwenye dau la kwanza.
Nipigie kwa simu namba 0 718 22 456 0 , ili kulijaribu na kukubaliana.
Oscar.
Want a motorbike?
I am leaving Tanzania in one week and need to sell my Zongshen motorbike. CC200, in good condition, taken care by the Zongshen fundi.
The offer is 1.3 million or the highest bid.
Give me shout : 0 718 22 456 0


.jpg)
.jpg)
.jpg)
mimi nahitaji hiyo pikipiki lakini niko Arusha nitapataje weka ww uko mkoa gani?
ReplyDelete