Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Prof Mark Mwandosya akimjulia hali Father Joseph Mwan'gamba aliyemwagiwa tindikali Zanzibar,  wote  wawili wakiwa wamelazwa  Apollo Hospital, Hyderabad, India

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Jamani, mbona Fr. mwang'amba kama macho yamekufa kabisa. Sioni kama anaona hapo. Yesu mwema fanya miujiza kumrudishia hali yake Fr. Mwan'gamba. Ugua pole Fr. pamoja na waziri mwandosya.

    ReplyDelete
  2. macho hana tena. Mungu amsaidie. Amen.

    ReplyDelete
  3. Father Mwang'amba sasa kwa nema ya Mungu anaweza kuona.

    ReplyDelete
  4. thats the best hospital of all in India on the best spot.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...