Mkurugenzi wa Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC), Bi. Juliet Kairuki (kushoto) na Mkurugenzi wa Mashariki ya Kati na Afrika wa Singapore(kulia) wakitia saini makubaliano ya kubadilishana taarifa za kiuwekezaji baina ya nchi hizo mbili jijini Dar es Salaam jana. Wanaoshuhudia ni Mwanasheria mwandamizi wa kituo Bwana Alex Mnyani na na Naibu Mwenyeketi IE Singapore Co-operation Entreprise.
Mkurugenzi wa Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC), Bi. Juliet Kairuki (kushoto) akibadilishana nyaraka na Mkurugenzi wa Mashariki ya Kati na Afrika wa Singapore(kulia) muda mfupi baada ya kuliana saini makubaliano ya kubadilishana taarifa za kiuwekezaji baina ya nchi hizo mbili jijini Dar es Salaam jana. Anayeshudia katikati ni Naibu Mwenyeketi IE Singapore Co-operation Entreprise.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...