Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akipokea ripoti ya kamati maalum ya Spika kutoka kwa Mjumbe wa kamati hiyo Mhe. Eng. Ramo Makani aliyoiunda Mwezi Mei, 2013 kuchunguza mgogoro wa ujenzi wa Bomba la Gesi kutoka Mtwara hadi Dar es Salaam. Wengine katika picha kutoka kushoto ni wajumbe wa Kamati hiyo Mhe. Said Nkumba, Mhe. Cecilia Pareso na Mhe. Dkt. Dalaly Kafumu. Kulia ni Katibu wa Kamati hiyo Bi. Nesta Kawamala. Picha na Owen Mwandumbya wa Bunge
Home
Unlabelled
SPIKA AKABIDHIWA RIPOTI YA MGOGORO WA BOMBA LA GESI KUTOKA MTWARA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Hivi report kama hizi zinapatikana kwa wananchi kama mie. Nina interest ya kujua kwa kinaga ubaga what happened ingawa najua kunaweza kukawa na degree ya biasness kutegemea nani kafanya huo utafiti.
ReplyDelete