Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akipokea ripoti ya kamati maalum ya Spika kutoka kwa Mjumbe wa kamati hiyo Mhe. Eng. Ramo Makani aliyoiunda Mwezi Mei, 2013 kuchunguza mgogoro wa ujenzi wa Bomba la Gesi kutoka Mtwara hadi Dar es Salaam. Wengine katika picha kutoka kushoto ni wajumbe wa Kamati hiyo Mhe. Said Nkumba, Mhe. Cecilia Pareso na Mhe. Dkt. Dalaly Kafumu. Kulia ni Katibu wa Kamati hiyo  Bi. Nesta Kawamala. Picha na Owen Mwandumbya wa Bunge

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Hivi report kama hizi zinapatikana kwa wananchi kama mie. Nina interest ya kujua kwa kinaga ubaga what happened ingawa najua kunaweza kukawa na degree ya biasness kutegemea nani kafanya huo utafiti.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...