Home
Unlabelled
Taarifa ya SUMATRA kwa umma kuhusu mabasi yaliyositishiwa leseni za usafirishaji
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hapa mnatumia 'samaki mmoja akioza wote wameoza'?. Msisubiri jali kukagua uwezo wa madereva na ubora wa magari!
ReplyDeleteHi ni hatua nzuri, naweza kuthubuti kuwapongeza SUMATRA kwa kuanza kutumia kodi zetu vizuri ambayo imekuwa ikiwalipa mishahara kwa muda mrefu lakini tulikuwa hatuoni matokeo kama haya.
ReplyDeleteNashauri hatua hii iwe endelevu isiwe tu katika kipindi hiki cha kuelekea mwaka mpya na christmass.
Aidha nawashauri pia polisi kuunga mkono hatua hii ya Sumatra kwa kuhakikisha magari haya yaliyopatiwa adhabu husika yanatekeleza kikamilifu adhabu hii ikiwa ni pamoja na kukaguliwa kikamilifu.
Mwisho, ninaamini kwamba watu wote wenye nia njema na maisha ya WTZ ambao wamekuwa wakiathiliwa na ajari hizi za kizembe wataunga mkono na kupongeza hatua hii ya Sumatra na katika hili tunaomba sana wanasiasa wakae kando ili kuzipa mamlaka husika kutekeleza majukumu yao kikamilifu bila kuathiriwa siasa.
Big Up SUMATRA, Kumbe tukiamua kusimamia sheria zetu kikamilifu tunaweza kupata maendeleo endelevu ya Taifa letu la Tanzania