Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Hapa mnatumia 'samaki mmoja akioza wote wameoza'?. Msisubiri jali kukagua uwezo wa madereva na ubora wa magari!

    ReplyDelete
  2. Hi ni hatua nzuri, naweza kuthubuti kuwapongeza SUMATRA kwa kuanza kutumia kodi zetu vizuri ambayo imekuwa ikiwalipa mishahara kwa muda mrefu lakini tulikuwa hatuoni matokeo kama haya.
    Nashauri hatua hii iwe endelevu isiwe tu katika kipindi hiki cha kuelekea mwaka mpya na christmass.
    Aidha nawashauri pia polisi kuunga mkono hatua hii ya Sumatra kwa kuhakikisha magari haya yaliyopatiwa adhabu husika yanatekeleza kikamilifu adhabu hii ikiwa ni pamoja na kukaguliwa kikamilifu.
    Mwisho, ninaamini kwamba watu wote wenye nia njema na maisha ya WTZ ambao wamekuwa wakiathiliwa na ajari hizi za kizembe wataunga mkono na kupongeza hatua hii ya Sumatra na katika hili tunaomba sana wanasiasa wakae kando ili kuzipa mamlaka husika kutekeleza majukumu yao kikamilifu bila kuathiriwa siasa.
    Big Up SUMATRA, Kumbe tukiamua kusimamia sheria zetu kikamilifu tunaweza kupata maendeleo endelevu ya Taifa letu la Tanzania

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...