HOTUBA YA MH ZITTO Z. KABWE - KIGOMA – 21 DESEMBA 2013
Leo nina furaha kubwa sana kwani baada ya safari ndefu na yenye changamoto nimerudi nyumbani kuwasalimu wananchi wenzangu! Na hii si salamu za kawaida bali nawasalimu kwa salaam za demokrasia, uadilifu, uzalendo na uwajibikaji. Nawasalimu si kama mbunge bali kama mwana wenu wa Kigoma! Na popote niendapo najivunia kujitambulisha kama Mtanzania; kama mwenyeji wa mkoa wa Kigoma na zao la Ujiji.
Taarifa zaidi BOFYA HAPA


Kilichonisisimua ni kutokua na muonekano wa polisi...yawezekana walikuwepo, ila ni jambo la kuvutia na la kupongezwa kwa wananchi kwa kuonesha nidhamu na ukomavu,natafakari hali ingekua kama hivi ktk mikutano yoyote ile na popote pale kwa wananchi kujichunga wenyewe na kuhakikisha hakuna athari kwa mtu au mali mpaka mwisho wa mkutano nadhani tungekua mbali ktk harakati kama hizi, matumaini yangu ni kwamba wananchi hawa wametoa funzo na elimu tosha kwa wananchi wa Tanzania.
ReplyDelete