Washiriki wa semina ya siku mbili inayohusu Mkakati wa Mawasiliano wa UNESCO kuhusu Urithi wa Dunia katika Kanda ya Afrika iliyofanyika jana jijini Dar es Salaam wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi.
Afisa Mkuu wa UNESCO Dar es Salaam Bw. Abdoul Wahab Coulibaly akitoa hotuba kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi katika ufunguzi wa semina ya siku mbili inayohusu Mkakati wa Mawasiliano wa UNESCO kuhusu Urithi wa Dunia katika Kanda ya Afrika iliyofanyika jana jijini Dar es Salaam.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Ndugu Selestine Gesimba akitoa Hotuba ya ufunguzi katika Semina ya siku mbili inayohusu Mkakati wa Mawasiliano wa UNESCO kuhusu Urithi wa Dunia katika Kanda ya Afrika iliyofanyika jana jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya washiriki wa semina ya siku mbili inayohusu Mkakati wa Mawasiliano wa UNESCO kuhusu Urithi wa Dunia katika Kanda ya Afrika iliyofanyika jana jijini Dar es Salaam.
Mshauri wa masuala ya Utamaduni na Maendeleo kutoka shirika la UNESCO akitoa mada iloyohusu Utamaduni na Maendeleo katika Urithi wa Dunia wakati wa semina ya siku mbili inayohusu Mkakati wa Mawasiliano wa UNESCO kuhusu Urithi wa Dunia katika Kanda ya Afrika iliyofanyika jana jijini Dar es Salaam. Picha na WHVUM.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...