Kamanda wa Matukio Richard Mwaikenda akipungia mkono kwa furaha wakati na wanahabari wenzie waliokuwa kwenye msafara wa Katibu Mkuu wa CCM, Komredi Kinana  katika ziara ya mikoa ya Mtwara, Ruvuma, Mbeya na Njombe wakiondoka kwa treni la Tazara Makambako kwenda Dar es Salaam jana. Wamwasili leo asubuhi.
 Wanahabari wakiwapungia mikono wananchi walipokuwa wakiondoka kwa treni ya Tazara,Makambao kurejea Dar baada ya ziara ndefu ya Kmredi Kinana katika mikowa minne. ambapo wametumia siku 26 na Kinana kuhutubia mikutano zaidi ya 100.
 Kamanda Richard Mwaikenda (kushoto) akiwa na Afisa wa CCM Makao Makuu, ambaye pia ni mmiliki wa Blogu ya The Nkoromo  wakiwa ndani ya chumba cha Treni ya Tazara wakisafiri kutoka Makambako kwenda Dar.
Wanahabari waliokuwa kwenye msafara wa Komredi Kinana wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kuwasili Stesheni ya Tazara, Dar es Salaam leo asubuhi.PICHA ZOTE NA KAMANDA WA MATUKIO BLOG.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Bila ya kutundika video nzima ya safari yenu toka Makambako mpaka Jijini Dar-es_Salaam kwa treni ya TAZARA hapa Globu ya Jamii na ktk YOUTUBE mtakuwa mmetuangusha sana.

    Maana reli na treni za TAZARA ni mfano wa kuigwa kama mradi mmoja mkubwa wa reli ulipata kujengwa baada ya nchi za Afrika Mashariki na Kati kujipatia Uhuru toka kwa wakoloni ili kujikomboa kiuchumi na siyo uhuru tu wa bendera ya mkoloni kushushwa .

    Na ndiyo maana reli ya TAZARA a.k.a reli ya Uhuru wanalibeneke mlioongozwa na KAMANDA wa MATUKIO mtakuwa mmetuangusha sana msipo weka video yake kuhamashisha usafiri usioharibu barabara zetu za Dr. Magufuli uhumizwe kutumika.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...