Baadhi ya Wananchi wa Vijiji vya Uzi na N’gambwa wadogo kwa wakubwa wakiendelea na harakati za matengenezo ya barabara yao itokayo Unguja Ukuu hadi Uzi kila baada ya kupungua kwa kina cha maji.
Mwenyekiti wa Kamati ya Ujenzi wa Bara bara ya Unguja Ukuu – Uzi Bwana Shaya Mohd akimuonyesha Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif eneo lenye kupitisha maji mwengi ambayo huleta kadhia kwenye barabara yao.
Balozi Seif akikagua barabara ya Unguja Ukuu hadi Uzi ambayo iko katika kiwango cha mawe ambayo inatengenezwa na Wananachi wenyewePicha na Hassan Issa wa – OMPR – ZNZ.
Kwa taarifa kamili na picha zaidi BOFYA HAPA
Kwa taarifa kamili na picha zaidi BOFYA HAPA
Mh Raza yupo wapi na hilo ndio jimbo lake?
ReplyDelete