Kundi la Taarab la Taifa la Zanzibar likitumbuiza wakati wa kilele cha sherehe za miaka 50 ya Mapinduzi uwanja wa Polisi wa Ziwani mjini Zanzibar Januari 12, 2013

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Burdaaaani..yaani nimesikiliza kwa makini na kufurahia japo nyimbo ni ya kitambo. Tunafanya makosa sana kwa kuwapa vichwa hawa wanaouchafua mziki wa taarabu kwa sasa eti kwa kuwapa tuzo mbali mbali, huku ni kuwavunjia heshima watu waliotunga na kuimba nyimbo zenye maadili na hata kusisimua na kukuacha ukiburudika,hapa namaanisha taarabu zote za zamani {Classic}.

    ReplyDelete
  2. Marhabaaaaaa! Sasa hii ndo ileee Taarab khalisi ya asili na hii nyimbo ndo 'Original' khasaaa! Tuachane na zile new 'version' mbili zilizotoka miaka ya karibuni, moja wapo haina mana 'pesa mbili' kama kuna unaemstahi huthubutu kuisikiliza na naskia moja ilipigwa marfuku. Pongezi za dhati kwa kundi zima la Taarab La Taifa mlohusika katika hafla hiyo. Zanzibar ni njema, atakae na aje! Mapinduzi Daima!

    ReplyDelete
  3. SubahanaLLAh nimeburudikaaaa Ankal ...Nimemuamini ni wangu mlezii anaenileaaaa... MAshaALLAh Ankal uwe unaweka hizi nyimbo banaaaaaa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...