Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiwapungia Mkono Maafisa katika banda la Tume ya Uchaguzi Zanzibar,alipotembelea Maonesho ya Miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar,yaliyofanyika jana viwanja vya Beit el Ras,ikiwa ni katika
shamra shamra za sherehe za Mapinduz
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed akisalimiana na Maafsa katika banda la Ofisi ya Mufti wa Zanzibar,alipotembelea Maonesho ya Miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar,yaliyofanyika jana viwanja vya Beit el Ras,ikiwa ni katika shamra shamra za sherehe za Mapinduzi,(katikati) ni Katibu wa Mufti Fadhil Suleiman Soraga
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipotembelea banda la Ofisi ya
Vitambulisho vya Taifa,wakati alipofungua Maonesho ya Miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar,yaliyofanyika jana viwanja vya Beit el Ras,katika shamra shamra za sherehe za Mapinduzi
Watoto hawakua nyuma kufika katika banda la Sober House,wenye Makamo yao Kwamchin Mwanzo,katika kujionea maonesho ya Miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar,yaliyoanza jana katika viwanja vya Beit el Ras, ikiwa ni katika shamra shamra za sherehe za Mapinduzi.


Tumshukuru Allah kwa kumuwezesha Sh Soraga kuendelea na maisha yake baada ya kumwagiwa tindikali.
ReplyDelete