Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. CHAPENI KAZI, MAJAMBAZI WAPO PIA NDANI HUMO HUMO. NCHI IKIWA NA AMANI KILA MMOJA ATAPATA KHERI NA ATAISHI KWA RAHA MUSTAREHE

    ReplyDelete
  2. Ahsante kwa kuwa muwazi na mkweli mheshimiwa. Ila nashangaa begi la pesa limeota miguu!!!. Mwenye macho haambiwi tazama.

    ReplyDelete
  3. Poleni na asanteni polisi wetu kwa kazi nzuri mnayofanya. Ila ni kwa nini kila tukio lipokuwa linahusu kukamata pesa zilizoibwa mnasema jambazi mmoja alikimbia nazo? Hapo panatia shaka kidogo kuhusu uadilifu wenu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...