Home
Unlabelled
KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA,SACP AHMED MSUYA AKITOA TAARIFA YA TUKIO LA UJAMBAZI JIJINI HUMO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
CHAPENI KAZI, MAJAMBAZI WAPO PIA NDANI HUMO HUMO. NCHI IKIWA NA AMANI KILA MMOJA ATAPATA KHERI NA ATAISHI KWA RAHA MUSTAREHE
ReplyDeleteAhsante kwa kuwa muwazi na mkweli mheshimiwa. Ila nashangaa begi la pesa limeota miguu!!!. Mwenye macho haambiwi tazama.
ReplyDeletePoleni na asanteni polisi wetu kwa kazi nzuri mnayofanya. Ila ni kwa nini kila tukio lipokuwa linahusu kukamata pesa zilizoibwa mnasema jambazi mmoja alikimbia nazo? Hapo panatia shaka kidogo kuhusu uadilifu wenu.
ReplyDelete