Home
Unlabelled
KIJIWE CHA UGHAIBUNI (THE BEST OF BENJA & YASIN EVER!)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kijiwe cha leo kizuri sana sana, kuondoa stress nimecheka mnoooo! Benny unakumbukaje mzee Yunusi wa RTD na sauti yake ya huo wimboooo? Yaani naomba next week muwe wawili hivyo hivyo halafu muendelee na hiyo topic ya Tz na majirani zetu, sio wote wanaelewa kuhusu nchi jirani zetu. Keep it up kijiwe cha ughaibuni ni Benny, Yasini na na Jo..o.
ReplyDeleteMmenifurahisha na malenga wetu. Siyo kwamba mnadumisha utamaduni bali mnaelezea historia ya nchi yetu. Tanzania Juuuu!!!!!!!!!!!!!1
ReplyDeleteJamani mmemsahau na mama wa kwanza, mke wake ni mzuri sana hakuna mfano, sasa anavyopendeza na vitenge vyake. Mungu ibariki Tz na watu wake, amani izidi kutawala. Kijiwe cha ughaibuni juu.
ReplyDeleteNilisema Bwana Mwaipaja ni mtu mwenye busara zake. Lakini ukimchukulia juu juu utamwona ni mtu mwenye makelele yasiyo na pointi.
ReplyDeleteKama nilivyosema, serikali ianze tena kuwaajiri Watanzania walioko nchi za nje katika kuonyesha kuwa inawathamini na kuuona uwezo wao katika ujenzi wa Taifa lao la Tanzania. Kwa kufanya hivyo, Watanzania wengi hawatapendelea kuchukua uraia wa nchi zingine.
- Mr Mhoja - Sweden
Kijiwe cha Lees!!! Yasin umenivunja mbavu sana; game lazima irudiwe mkubwa bado hajaweka wazi Upper Marlboro!!!!!
ReplyDeletehichi ndio kinaitwa kijiwe siasa kidogo mambombo binafsi kidogo lakini kila mtu mtu anaondoka kiroho safi keep it up
ReplyDelete