Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Kijiwe cha leo kizuri sana sana, kuondoa stress nimecheka mnoooo! Benny unakumbukaje mzee Yunusi wa RTD na sauti yake ya huo wimboooo? Yaani naomba next week muwe wawili hivyo hivyo halafu muendelee na hiyo topic ya Tz na majirani zetu, sio wote wanaelewa kuhusu nchi jirani zetu. Keep it up kijiwe cha ughaibuni ni Benny, Yasini na na Jo..o.

    ReplyDelete
  2. Mmenifurahisha na malenga wetu. Siyo kwamba mnadumisha utamaduni bali mnaelezea historia ya nchi yetu. Tanzania Juuuu!!!!!!!!!!!!!1

    ReplyDelete
  3. Jamani mmemsahau na mama wa kwanza, mke wake ni mzuri sana hakuna mfano, sasa anavyopendeza na vitenge vyake. Mungu ibariki Tz na watu wake, amani izidi kutawala. Kijiwe cha ughaibuni juu.

    ReplyDelete
  4. Nilisema Bwana Mwaipaja ni mtu mwenye busara zake. Lakini ukimchukulia juu juu utamwona ni mtu mwenye makelele yasiyo na pointi.
    Kama nilivyosema, serikali ianze tena kuwaajiri Watanzania walioko nchi za nje katika kuonyesha kuwa inawathamini na kuuona uwezo wao katika ujenzi wa Taifa lao la Tanzania. Kwa kufanya hivyo, Watanzania wengi hawatapendelea kuchukua uraia wa nchi zingine.
    - Mr Mhoja - Sweden

    ReplyDelete
  5. Kijiwe cha Lees!!! Yasin umenivunja mbavu sana; game lazima irudiwe mkubwa bado hajaweka wazi Upper Marlboro!!!!!

    ReplyDelete
  6. hichi ndio kinaitwa kijiwe siasa kidogo mambombo binafsi kidogo lakini kila mtu mtu anaondoka kiroho safi keep it up

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...