Mwakilishi wa Jimbo la Kwahani Ali Salum Haji kushoto akibadilishana mawazo na Mwakilishi wa Jimbo la Mkanyageni Haji Faki Shaali ndani ya ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Mbweni nje ya mji wa Zanzibar.
Mnadhimu wa CUF Jimbo la Chonga Abdalla Juma Abdalla kulia akibadilishana mawazo na Wawakilishi nje ya ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Mbweni nje ya mji wa Zanzibar.kushoto mwenye simu ni Mwakilishi wa Jimbo la Nungwi Haji Mwadini Makame.
PICHA NA YUSSUF SIMAI -MAELEZO ZANZIBAR.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...