Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Abdallah Kigoda (katikati) Naibu Waziri wa Biashara na Viwanda wa Afrika ya Kusini, Bi. Elizabeth Thabethe(kushoto) na Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Bi.Janet Mbene(kulia) wakielekea kwenye chumba cha mkutano ambako mkutano wa wafanyabiashara wa Tanzania na Afrika ya Kusini uliofanyika Dar es Salaam hivi karibuni na kuaratibiwa na Mamlaka ya Ukanda Maalum wa Uwekezaji (EPZA) kwa ushirikiano na Wizara.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Ukanda Maalum ya Uwekezaji (EPZA),Dkt. Adelhelm Meru(kushoto) na Mkurugenzi wa Uhamasishaji na Huduma wa Mamlaka hiyo, Bi. Zawadia Nanyaro wakifuatilia mada mbalimbali wakati mkutano wa wafanyabiashara wa Tanzania na Afrika ya Kusini uliofanyika Dar es Salaam hivi karibuni. Mkutano huo uliratibiwa na EPZA kwa ushirikiano na Wizara.
Meneja wa Uhamasishaji uwekezaji (ndani) wa Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC) kushoto na Meneja Uhusiano wa Kituo hicho, Bi. Pendo Gondwe, wakifuatilia mada mbalimbali wakati mkutano wa wafanyabiashara wa Tanzania na Afrika ya Kusini uliofanyika Dar es Salaam hivi karibuni. Mkutano huo uliratibiwa na EPZA kwa ushirikiano na Wizara.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...