Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkaribisha Mnadhimu Mkuu wa Majeshi, Luteni Jenerali Samuel Albert Ndomba, wakati alipofika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Jan 27, 2014 kwa mazungumzo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika mazungumzo na Mnadhimu Mkuu wa Majeshi, Luteni Jenerali Samuel Albert Ndomba, wakati alipofika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Jan 27, 2014 kwa mazungumzo. Picha na OMR.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...