Mabango Mbeya
Mbunge wa Mbozi Mashariki, Davi Silinde (Chadema), akiwahutubia wananchi wa mji wa Mbeya, katika mkutano wa hadhara wa Operesheni M4C Pamoja Daima uliofanyika kwenye Uwanja wa Rwanda Nzovwe mjini Mbeya jana.
Slaa kuhutubia Mbeya 1
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa na Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’, wakiondoka kwa shamrashamra, baada ya kuhutubia mkutano wa hadahara wa Operesheni M4C Pamoja Daima, uliofanyika katika mji wa Makongorosi mkoani Mbeya jana.
Slaa na mtoto
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa akiwa amembeba mtoto Sheila Shukurani (3), kabla ya kuhutubia mkutano wa hadhara matika mji wa Makongorosi mkoani Mbeya jana.
Sugu kuhutubia Mbeya
Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’, akiwahutubia wananchi wa mji wa Mbeya na vitongiji vyake katika mkutano wa hadhara wa Operesehni M4C Pamoja Daima, uliofanyika kwenye Uwanja wa Rwanda Nzovwe jana.
Picha na CHADEMA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. The mdudu,huyu sugu toka awe mbunge sijui ashafanya nn cha maana kwa wananchi wake mnaoishi mbeya mjini hebu tupeni data maana isijekua akasahau ahadi zake zote alizotoa kwa wanachi wake,nauliza hivyo coz tunae wakwetu kule moro kwajina Afande Sele tunataka tumsimamishe ili autoe ulemzigo mzito usio bebeka

    ReplyDelete
  2. Swali zuri mdudu....Tanzania tulionayo sasa si ile ya zamani, mambo yanabadilika mno ni rahisi kufahamu ufanisi wa mtu kupitia anaowaongoza, mpaka kufikia unauliza swali bwana kakakuona,dhahiri kua Mbeya mjini ni shwari na Sugu moto chini.Bila shaka unazo taarifa zilizo zagaa za wanaoshutumiwa kua mizigo, si kwa chuki nisuala la uwajibikaji tu......

    ReplyDelete
  3. Sugu zaidi music, barabara walau kajitahidi zimekarabatiwa ijapo zingine si kwa kiwango. Kichekesho ni bado Soko la Mwanjelwa limesimama kujengwa, hatujui hatma yake. Wafanyabiashara wa sido wanalia kwa barabara kujaa maji mpaka kwenye stoo zao za kuhifadhia bidhaa zao. Sijui tuseme nini kimefanyika na nini hakijafanyika. kajitahidi kiasi chake.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...