Watu 13 wanasemekana wamepoteza maisha baada ya gari ya abiria aina ya Noah walilokuwamo kupata ajali kwa kugongwa na lori mkoani Singida hivi punde. Habari zinasema chanzo cha ajali hiyo ni mwendo wa kasi na dereva kushindwa kumiliki lori hilo na kujikuta likipinduka na kusababisha maafa hayo. Waliopoteza maisha ni pamoja na dereva na msaidizi wake.
CHANZO http://www. matukiotz.com/
Wataalamu wameshasema, Noah haifai kuwa gari ya abiria, lakini hapa TZ tunakuwa wakahidi!! Au ni katika population control??!! Kuna wageni wakitoka nje huwa hawapandi kabisa hizi Noah tulizozihalarisha kubeba abiria na mizigo!!
ReplyDeleteSina cha kuongezea, ila kusubiri jinsi waTZ wanavyopunguzwa kwa uzembe wa hali ya juu!!
Mbona Bongo kuna ajali kama hizi za kutisha kweli. Agalia hilo gari lilivyoteketea utafikiri lilikuwa limejengwa kwa vigai na majaribosi.
ReplyDeleteUkipakia watu kwenye boksi, halafu kwenye highway unategemea nini?? Juzi juzi tu huko moro au dom Noah ilifyeka wote hakuna hata wa kusimulia kilichotokea!! Nafikiri abiria waweke mgomo wa kuzipanda Noah!!
ReplyDeletePole wahanga wote wa ajali, sala zangu ziende kwa majeruhi wote wapate nafuu mapema, na marehemu wote namwomba mwenyezi mungu awalaze roho zao mahali pema peponi, amen.
ReplyDelete