Mwakilishi mkazi na Mratibu wa Shughuli za Umoja wa Mataifa nchini(Resident Coordinator of the UN System) Bwana Alberic Kacou akimkabidhi Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete nakala ya Ripoti ya mwaka Utendaji ya (UNDP) 2012-2013 wakati mwakilishi huyo alipokwenda kumuaga Rais Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam leo. Bwana Kacou anaondoka baada ya muda wake wa utumishi kumalizika hapa nchini(picha na Freddy Maro)
Home
Unlabelled
Rais Kikwete aagana na Mwakilishi mkazi wa Umoja wa Mataifa ikulu jijini Dar
Subscribe to:
Post Comments (Atom)





MKUU nimependa unavyoichungulia kwa umakini mkubwa hiyo ripoti.Suala hapa ni kuhakikisha wanachokiandika humo hawa "Wakubwa" ndicho walichokifanya,vinginevyo hatuwahitaji.
ReplyDeleteDavid V